Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Beef Lasagna anadharau nguvu ya maji? [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️Duuh, pole zao, dereva hapa alikua na akili kama za beef Lasagna
anadharau nguvu ya maji
Mazingaombwe...
Ni Tanzania ile ile...!!!
Mapambano Bado Yanaendelea. Mapambano gani bwana Kisandu? Unapigania nini?
Mademu ulikuwa udhaifu mkubwa wa The Greatest. Kila mmoja na udhaifu wake ati !!!