Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hapana Mkuu si wa kwetu. Hata mimi nilipomuona nilidhani ni wa kwetu kule Kaskazini maana ana features zote za kutoka kwetu kipande ile ya Kaskazini. Ni mnyamwezi huyu wa majuu na si wa Bongo.

Slei kwini wa kwetu huyu mkuu? Kama ni wa kwetu basi Sanchoka kapata mpinzani rasmi. She is beautiful !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…