Sema yote, nijue kama kweli ukubwa dawa.Ningesema mengi tu, sema naheshimu sana haki yako ya faragha.
Ulikuwepo wakati wa Operesheni Sogeza ???Kokubanza/Kokuhilwa?
Mkuu kwa umri nilionao siwezi kuwa mwanao.
Hata nisiposema haitaniondolea Ukubwa wangu. Nikisema pia haitafanya wewe unione mkubwa wala uniheshimu.Sema yote, nijue kama kweli ukubwa dawa.