Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Vilevile mashambulizi yanaweza kupunguzwa kwa kupanda aina zilizo na uvumilivu mkubwa, kurutubisha ardhi kusudi mimea itokeze kwa nguvu na afya, kuhakikisha kuwa ardhi si kavu wala si ya majimaji sana na kuhakikisha kuwa bustani ni safi kila wakati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…