Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hana hela yule! Unadhani kum maintain mtoto wa Ki Tanga mchezo! Acha tu niuze hizi dagaa nilizonazo nimuibukie! [emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550]
Hela za nini?
Raha ya mlio wa saksafoni mpulizaji awe na pumzi...hizo hela mtachanga wenyewe mashabiki. Usinitishe na hela za vidagaa vyako hapa.
Nikianza kulipuliza mtoto anapata rahaaa hadi anaanza kujiimbia mwenyewe "yesu nipeleke,kule kwa baba,nikaishi nae...ooooh lulu,ooooh lulu[emoji445] [emoji444] [emoji445] [emoji443] [emoji445] [emoji444] [emoji443]
 
Hahahhahahah yaan wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…