Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

DALILI ZA UGONJWA KWA WANYAMA WENGINE

• Tabia zao hubadilika

• Mnyama hataki kula wala kunywa maji

• Hutokwa na mate mdomoni saa zote

• Mnyama hatulii (Restlessness)

• Mnyama anaweza kumuuma binaadamu na akaupata ugonjwa

• Baada ya siku kadhaa mnyama hupooza na hatimaye hufa,

• Dalili hizo hapo juu hutokea kwa sababu virusi hushambulia mfumo wa fahamu, hasa ubongo.
 
UCHUNGUZI

• Mbwa akionyesha dalili zilizotajwa, ni vizuri kufungiwa ndani ya banda. Kwa kawaida hufa baada ya siku 14. Kisha mzoga huo upelekwe kwenye maabara kwa uchunguzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…