Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jakito uwaga ananifurahisha sana na majina anayokupaga
Naona nakaribia kutemwa. Mara niitwe mkuu. Mara bro...Mapenzi yamekwisha na maandaeitini naona wamekazana kweli kweli. May be it's time to pack my bags and move out [emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…