Hahahaha, naona mmeng'ang'ania kwenye usolidi.[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Tujitahidi tusiyumbe WAGUMU lakini huyu mtoto wa pwani pishi Lake lina flavor balaa
Lakini si ni WAGUMU
My ndugu nini tena??? Au kuna kitu umeona maana we mzee wa kuona mbali[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Haswaa!Heheheh hv hapo nimesoma sawa kweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mungu ni wa ajabu,mzee baba namuona kwa mbaaali[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] View attachment 723531
Na ka diner bhana puliziii[emoji120][emoji120]
Me nyuki wa mashine bhana acha uwoga[emoji2][emoji2][emoji2]
DuhRelevant Read
Hii kitabu ni bombaGood read
Sitaki kukosa bahati mie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] Mkorofi wewe! Eti kupishana na magari ya mishahara!
Basi nitajitahidi kuja hivyo hivyo nami nikiviona tu naondoka zangu.Ukishaviona tu, nakufukuzia mbali.
Mshambuliaji Mfaransa anayechezea Atletico Madrid Antoine Griezmann anataka kujua hatima yake katika klabu hiyo kabla ya kusafiri kwenda kucheza Kombe la Ufaransa. Mchezaji huyo wa miaka 27 amehusishwa na kuhamia Barcelona. (L'Equipe kupitia Sky Sports)