Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kipenda roho x 3,
Kipenda roho hula nyama mbichi,
Kipenda roho haoni wala hasikii,
Akipenda anapenda ohh,
Akipenda hasikii,

Kipenda roho x 2,

Penzi halijui mdudu wala penzi halijui mnyama,
Samaki majini wanazaana,
Kunguru ukiona jioni wanapita kwa wingi wanafunga ndoa,

Kipenda roho x 2

Penzi halina ubaguzi x 2,
Penzi lingekuwa na ubaguzi,
Sisi wabaya tungelia,
Sisi wabaya hatungepata kitu,
Sisi viwete
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…