Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hz lugha bana, unaweza dhan verse ya kwanza kwenda wimbo uliouza album ya Makhirikhiri
 
daahh mtoto mzuri avatar yko inamvuto " nilikuwa siamini uwepo wa malaika "" lakini tangia nilipokuona nimeanza kuamini kiwa malaika wapo "" sory nimeshindwa kukwambia neno moja tu kama ulivyotaka""nakujikuta naongea maneno mengi""

pls naomba pictr yko pm
 
dooh, kazi kweli kweli.. na wanawake mlivyo.. kama nawaona mtakavyo mnanga
Labda wengine,mie sinaga shida na joketi na pia sifahamu sababu ya kutumbilwa kwake

Halafu hata haitanifaidisha

Ingekua wema,mabeto ningesherehekea maana wana mashauzi na kujiona keeekiii kumbe wala hawafikii hata ubora wa maandazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…