Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Changamoto

Muda ambao wakulima wengi wanakuwa wamezizalisha zaidi huathiri sana soko la pilipili kwa maana hata bei ikishushwa sana haiwezi kushawishi watumiaji kutumia pilipili nyingi zaidi.

Kuepuka changamoto hiyo wakulima wanashauriwa kupunguza huduma shambani hadi pale soko litakapo tengemaa vizuri.
 
Mpaka we mzee umeiona hii nimekwisha
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Kuwa na msimamo,yego anakupoteza...
Unapohangaikia wewe,yego anapataka kwa nguvu zake zote...
Yego katumia zaidi ya lugha tano zikiwemo za Scandnavia na loko za ushawishi ili kumpata babe gel,wewe umebaki na lugha ile ile ya "binti mpole"...
Fo yua infomasheni,mara paaap...aifoni eksi(kutoka kwa buroo wako)[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hatariiiiiii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mbinu za mafanikio kwenye kilimo hiki.

ZALISHA KWA WINGI
Uzalishaji mkubwa husaidia sana kupunguza gharama ambazo haziepukiki yani (Fixed Cost). Ukizalisha kwa wingi kwa gharama ndogo utaweza pia uza bidhaa zako kwa bei ndogo na bado utapata faida nzuri na kujihakikishia soko la uhakika kwa bidhaa zako.
 
ahahahhahahahahahah andjul bana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daaah bro bro kweli hili jambo la iPhone x
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…