Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Je unafahamu umuhimu wa kula tikiti maji, hasa kwenye maeneo yenye joto?

Hizi ni kati ya faida chache zinazopatikana kwa kula tikiti maji:

Tikiti maji huboresha kiwango cha maji mwilini na kuzuia maumivu ya misuli pamoja na viungo.
Uwepo wa betacarotene huboresha macho na kuzuia magonjwa mwilini
Kuboresha mzunguko wa damu mwilini
Huboresha kinga ya mwili
 
Je unafahamu vyakula unavyotakiwa kula kila siku?

Kati ya vyakula unavyotakiwa kula kila siku ili kuboresha afya ni

Apple 1: Punguza magonjwa, boresha kinga
Chai (green tea): Punguza magonjwa ya moyo, saratani na kiharusi
Limao 1: Punguza mafuta mwilini
Kikombe 1 cha maziwa: Kuboresha mifupa
Lita 3 za maji: Linda mwili, ondoa magonjwa
 
Je unapenda kuwa na afya bora?

Fuatilia haya mambo muhimu ili kuwa na afya bora na kuepuka magonjwa yasiyo ya lazima.

Epuka vyakula vyenye sukari nyingi – soda, juisi za kopo, pombe, vyakula vya kusindika n.k
 
Kula protini na vitamin kwa wingi, kila siku. Jenga mwili wenye afya, epuka magonjwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…