Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aisee. Ilikuwa mpaka wanihonge vitumbua ndo siwasemei. Kuwa mtoto wa mwisho kuna raha zake. Unajifunza ufisadi kuanzia utotoni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wakati mwingine mnaudhi kama nini sijui.
Ila kitu kizuri toka kwenu huwa tunawatumia sana,ukitaka kitu toka kwa baba ama mama tunawatuma tu maana chances za kukipata ni kubwa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwanini hupendi muziki Mkuu? Hata clubs weye hushuki?
Napenda lakini siyo huu wa kisasa. Napenda miziki na nyimbo za kiasili sijui kwa nini. Saida Karolish...Na Gospel...Club tangu nizaliwe nadhani nilishaenda mara moja tu. Nilienda na group linaonja sembe na sigara kali. Sikurudia tena. Na niliyoyaona huko yalinikatisha tamaa...LA
 
Okay hayo hata mimi labda yangefanya niuchukie muziki hata kuwepo club. Ila mie nikienda huko ni kujirusha kwa sana mwanzo mwisho nikitoka hapo roho yangu kwatu! Furaha tele na kama DJ anajua kuzipanga debe basi mie huhamia kabisa kwenye dancing floor.

 
UVUMI wa makocha umegoma kuondoka kabisa. Na kule Ufaransa ni kiini zaidi ya uvumi huu baada ya kugundulika PSG itaachana na kocha wake, Unai Emery mwishoni mwa msimu huu baada ya kushindwa kuipa mafanikio Ligi ya mabingwa wa Ulaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…