Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Mh! Mji gani Mkuu?
West Midlands kama bandiko linavyoonekana!
Shukrani Mkuu kuna washkaji wa karibu kule. Naomba Mungu isiwe ambao nawafahamu.
Ni hatari Mkuu! Huyo dada ni mtu wa A-town! Wanajaribu kuchangisha ili wamlete home kwa mazishi!
Heri ya pasaka mkuu. Tumshukuru Mungu [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Ni kweli mkuu, Heri ya pasaka
Majina matamu yapo kwa Wajapani tu. Kama yule balozi wao kwetu aliyekuwa akiitwa Kumamoto[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28], hijawahi sikia pussyhead?