Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Mchawi sio mpka hakurogeBaada ya huu uzi tuanzishe mwingine wa kupeana ban... Yaani chochote utachopost unalimwa ban..
cc mods
Sio nyumbani, sema bar, haujui kuwa kuna vibia vimezaliwa juzi juzi hapa vizuri sana? Hata jibapa hauja msikia? Hahahaaaa... Kama.. Kama.. Kamata chini kamatia chini...Poa,kazi njema pia. Uwahi kurudi nyumbani.
Hahhahh yalah we mwanaume,nyumbani kwanza halafu badae ndio bar. Anyway ukianzia bar uniletee na mm tu redd's tu nne tu.Sio nyumbani, sema bar, haujui kuwa kuna vibia vimezaliwa juzi juzi hapa vizuri sana? Hata jibapa hauja msikia? Hahahaaaa... Kama.. Kama.. Kamata chini kamatia chini...
Hahaha mtake radhi bae wangu aisee.
Andjul enzi zake alikula ujana sana
Inategea inatumia nini mkuu ukiwa na simu sita kwenye PC unaona zoteMwisho wa like ni tano tu? Na watoaji like ni hao hao tu? Haya Nipe like zangu tano
Huyo ni mwehu mwacheMchawi sio mpka hakuroge
hahahaaMchawi sio mpka hakuroge
Yes... Redd's kwa ajili ya amsha popo sio. Tutafika mbali sana. Good afternoon friendsHahhahh yalah we mwanaume,nyumbani kwanza halafu badae ndio bar. Anyway ukianzia bar uniletee na mm tu redd's tu nne tu.
Hahahaaaa picha imenishtua... anyway, mchana mwema mkuu
Andjul enzi zake alikula ujana sana
Ndio nipo mkuuMzee wa liver.. Upo online?