Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Ulikuwa wapi mkuu?Hahahaaaa picha imenishtua... anyway, mchana mwema mkuu
Safi mkuu.. Endelea kukita kambi hapaNdio nipo mkuu
Sawa babaKaribu kwa matumizi ya baadae
Kumbe ndio maana anakupiga vita hivi[emoji1] [emoji1]Nitakusimulia baadae mama, japo chanzo ni mapenzi
Hivi hizi picha mnatoa wapi yaani nacheka mpka basi
Oyooooooooo woyooooooooooooooWalike tu ila usije kuniletea baby S mwingine.
Hahahahaha usiruke tupia likes only kila pageNipo online Mkuu ila speed ya huu uzi imenizidi, labda niwe naruka baadhi ya pages.