Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1.Jitahidi uwe na mizigo michache iwezekanavyo, usibebe nguo nyingi! Kumbuka hutavaa nguo hizo zote. Kuwa na begi linalobebeka na ukiliwekea label itakua nzuri zaidi.
 
Jifunze maneno machache ya lugha ya nchi unayotembelea (kumbuka sio kila nchi wanajua kiingereza) maneno ya Muhimu ni kama salamu, msaada, ndio, hapana nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…