Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

watu wenye umri wa miaka 35 mpaka 50 wako kwenye hatari kubwa sana kupata matatizo ya moyo ikiwemo kiharusi siku za Jumatatu!
 
7.Licha ya kuchukiwa na watu wengi, jumatatu ndio siku bora zaidi kununua gari na bidhaa zingine! Hii ni kwa kuwa wauzaji wengi huwa wametumia kiasi kikubwa cha fedha wikendi na jumatatu huwa na wateja wachache zaidi hivyo ni rahisi kupunguziwa bei!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…