Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ronaldo alipiga kwa tick-tack kwenye mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Juventus Jumanne iliyopita, bao ambalo limesifiwa karibu kila kona mashabiki waliokuwa uwanjani Turin kusimama kumpa heshima yake Mreno huyo kwa kufunga bao la kitaalamu.
 
Lakini, Rooney, anayekipiga Everton kwa sasa, alisema anaamini bao lake alilofunga mwaka 2011 dhidi ya Man City kipindi hicho alipokuwa akiichezea Manchester United ni bora kuliko la Mreno huyo.
 
Rio Ferdinand, aliyewahi kucheza na wachezaji wote hao wawili, Ronaldo na Rooney, alisema kwamba bao alilofunga Mreno ni bora zaidi miongoni mwa mabao ya wawili hao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…