Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

wayuuuuu ..MzeE baba utaniuwa tafadhali ..hela zenyew za mkopo hizi ""na nimeweka mjengo wa familia bond bila mtu kujua....naona wanitafutia kamba ya kujinyonga mapema


daaahh nahii hali ya hewa na mtoto kama Huyu ...ngoja ni logout maana naona huna nia nzuri na mimi wewe ..wataka nifilisike eeehh ...hahaa pepo shindwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…