Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

JE KONOKONO HULIWA ?
Pasina mashaka nchi kama China, France, Spain, ureno na Ghana konokono ni mlo safi tuu, husaidia mwili kupata protein, vitamin b12 sambamba na madini ya chuma, hivyo hii yaweza kuwa fursa kwako pia endapo utaona watu wa mataifa hayo nchini ukitengeneza supu ya konokono utapiga hela tuu.
 
Lakini pia utafiti unaonesha mwanaume ambaye anaweza kulamba sehemu za siri za mwanamke ana uwezo mkubwa wa kumla konokono, kwani ulaini na muonekano wa uke wakati tukio hilo lifanyikapo hupata ufanano kwa kiasi kikubwa na muonekano wa konokono mwenyewe.
 
Mbali na faida hiyo inayoweza patikana kutokana na kutengeneza soup ya konokono, pia wapo konokono wazuri kwa rangi ambao hufanywa kama mapambo, na mwisho hapa kwetu konokono hutumiwa na waganga wa kienyeji,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…