[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tunahitaji kiongozi imara na wanachama ambao wako dediketedi. Sasa Mwenyekiti mwenyewe mara anaibuka na maswali ya ajabu ajabu. Hapo unayegemea nini? CHACHAWA siyo mamangu ohoooo (in Mwl. Nyerere's voice) [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli..Breki za gari huathiriwa na maji, kwa hivyo unapoendesha gari eneo lenye maji, ni vyema kuendesha gari kwa mwendo wa polepole. Hii itaziwezesha breki kukauka.
Yaani wewe ukijiunga CHAWAWA naandamana,CHAWAMITA utamwachia nani?Tunahitaji kiongozi imara na wanachama ambao wako dediketedi. Sasa Mwenyekiti mwenyewe mara anaibuka na maswali ya ajabu ajabu. Hapo unayegemea nini? CHACHAWA siyo mamangu ohoooo (in Mwl. Nyerere's voice) [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wote walaini[emoji23] [emoji125]Nakazia hapo kwwnye ubatili,hakuna mgumu humu[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Mara paap na wewe unabisha hodi mlangoni. Baada ya siku hiyo hata nikikata roho nitaondoka na tabasamu pana usoni mwangu. Ridhiko la kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uwiiiii
EwaaaaaaKutesti zali kunaruhusiwa. Usipotesti zali sasa utawasimulia nini wajukuu wakati huo ukiwa kiajuza? Wakati ndo huu shemeji darling [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo hali si hali,kitooo rudi mama usije sababisha ajali hukuMara paap na wewe unabisha hodi mlangoni. Baada ya siku hiyo hata nikikata roho nitaondoka na tabasamu pana usoni mwangu. Ridhiko la kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Chama kilikuwa halali sema tu pengine sababu za kuanzishwa kwake hazikuwa na mashiko ndo maana kinalega lega...Waiiii hata hivyo kilikiwa batili[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Woteeee hakuna mgumu hapooo[emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Wote walaini[emoji23] [emoji125]
[emoji16][emoji16][emoji16]Woteeee hakuna mgumu hapooo[emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]