Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kwenye utofauti huo nadhani ndimo mna jibu sahihi kabisa....[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️Naruhusiwa kuelewa ninavyotaka?
Maana nimeelewa tofauti[emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani wewe.....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mwakaleli alisema unachinjiwa ng'ombe dume siku ya mazishi kuenzi kutunza hadhi ya ukooMara paap na wewe unabisha hodi mlangoni. Baada ya siku hiyo hata nikikata roho nitaondoka na tabasamu pana usoni mwangu. Ridhiko la kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi siyo afadhali. Ndiyo nguzo ya chama !!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hakuna wa afadhali
Sahihi kabisa..Unapokuwa unaendesha gari, usishawishike kutumia simu yako au kufanya jambo lolote ambalo litakuzuia kuwa makini ukiliendesha gari.
Tokotoko[emoji445] [emoji445] [emoji441] [emoji441] [emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo hali si hali,kitooo rudi mama usije sababisha ajali huku
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unajua kulenga shabaha kwanza??
Tuanzie hapo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwenye utofauti huo nadhani ndimo mna jibu sahihi kabisa....[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
Hapana siju?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unajua kulenga shabaha kwanza??
Tuanzie hapo
Chawamita ama?Mimi siyo afadhali. Ndiyo nguzo ya chama !!!
CHAWAMITA Bilionea Asigwa amekubali kubeba ukatibu mkuu. Leo asubuhi ameshusha matirio ya kufa mtu. Anafaa zaidi...Yaani wewe ukijiunga CHAWAWA naandamana,CHAWAMITA utamwachia nani?
Sasa hili darasa itabidi ulipieHapana siju?
Aiseeh!!CHAWAMITA Bilionea Asigwa amekubali kubeba ukatibu mkuu. Leo asubuhi ameshusha matirio ya kufa mtu. Anafaa zaidi...
Sasa si mtesti zali? Mbona mnakalia tu kusema wote walaini hata zali hamjatesti kuona ugumu au ulaini wetu membazi?Wote walaini[emoji23] [emoji125]
Na wanachama wenyewe walikuwa feki sio hata wagumuChama kilikuwa halali sema tu pengine sababu za kuanzishwa kwake hazikuwa na mashiko ndo maana kinalega lega...