Kama tukiwa na moyo wenye huruma ni lazima tuweze kuwaelewa wengine jinsi wanavyojisikia. na kuelewa matatizo yao inabidi kuwepo karibu yao. ukaribu huu sio ule wa kimwili na sio uhitaji wa mihemko. ni hisia za kuwajibika.

kwa kile kinachowaogopesha.Kwa ajili ya kuwa karibu inabidi tustawishe ubinadamu wa watu wengine. lazima tuje kuona furaha ya ndani na amani ya akili..
lazima tuelewe ni kitu gani wanaheshimu na kutupenda kama matokeo ya tabia zao. lazima tuache kujikamilisha sisi tu. na kuwa wenye uwezo na kuchukulia advantage hio kwa wale wasio na uwezo.
lazima tuelewe kwamba vimeletwa na wengine. hakuna ambacho kingekuwepo ili kukifurahia na kukitumia pasipo wema wa watu wengi tusiowajua. tunapojenga hii tabia, kukubalika kwa watu wengine kutakua.