Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

2.Connect

Watu wenye furaha hubaki kwenye mawasiliano na wale wawapendao, hasa wenza wao, marafiki wa karibu, na familia walio nayo. Hupenda kurudi kwenye hisia zao za kirafiki wakati vitu vinapokuwa vizuri kwao na hata maisha yanapokuwa magumu sana.
 
3.Uwe na shukrani.

Katika mafunzo mengi , na kupitia wachunguzi wengi , na hata kila rika , dini , siasa , na hata wataalamu wa jinsia , kulenga katika kazi yenye furaha . niligundua tofauti moja ya msingi kati ya wale wenye furaha na wale wasio na furaha,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…