Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ukijikuta unahangaika na shukurani , chukua kalamu na karatasi andika vitu 10 vya shukrani. Usiogope kuonyesha shukrani ya kweli ambayo ipo kichwani mwako. Chakula ndani mwako, hewa safi, maji safi na zidi ya hivyo. Unaweza kuongezea , nguvu ulizonazo, kazi ulionayo, familia, marafiki, hata uwezo ulionao, hata tabasamu ulilonalo, ukifanya hivyo, matokeo yake yatakushangaza sana
 
Hamna cha utamu,ale hata pre match bado ndo kwanza jamaa alikua anachora raman ya kupita njia ipi ipo salama ipi haipo salama
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
There she goes Binti mpole Numbisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…