Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Wapuuzi kweli sasa washauriwe nini mikitu mingine buana[emoji57] [emoji57]Umeona eeh? Halafu dada mtu ana mimba. Wanaomba ushauri nini cha kufanya ili mtoto asiwe na matatizo kutokana na mvurugano wa DNA. Hovyo kabisa !!!
hiki kitoto cha katikati huwa hakikui kabsa,,, babyface muda wote
Kipe muda. Kitakua tu. Father time doesn't play. Kwema lakini?hiki kitoto cha katikati huwa hakikui kabsa,,, babyface muda wote
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha ni kweli kiongozi,,,Kipe muda. Kitakua tu. Father time doesn't play. Kwema lakini?
Kwema ledada?[emoji23] [emoji23] [emoji23] View attachment 743274
Huku poa ndugu yangu. Tumshukuru Mungu [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Hahaha ni kweli kiongozi,,,
Aisee kwema kabisa,, vp uko poa mzee?
Kweli tupu. Na hili ni tatizo kubwa kwa pande zote mbili. Na wengine wanapoteza hata uwezo wa kumwamini mtu tena. Not fair !!![emoji23] [emoji23] [emoji23] View attachment 743274