Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mbona hakuna kitu? Katako kenyewe kagumuuu kama kakiporo ka ugali wa mtama kalikotelekezwa na watoto watukutu...Aaarghhh !!!
Heeeeeeeee[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
"Katako kagumu kama kakiporo ka ugali wa mtama"
Ndo ukoje huo ugali shem[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimepata dawa ya utajiri,,mashart yake mepesiii,,mwanamke umatakiwa usiguse tu sufuria yenye masinzi,na kwa mwanaume usikae kwenye kigoda cha jikoni,,napatikana dar mwenye kuhitaji gharama yake 1000 tu bhas. [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
[emoji28][emoji23][emoji2][emoji16][emoji16], Mepesi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…