EheheheeMwenyewe roho iliniuma nililazimika kulala sa2 ka mtoto
Sijui hata alikosea nini etiiMmejuaje nyie? Alikosea nini? Jizazi !!!
[emoji23][emoji23]nikiondoka nakuacha na nani kwa mfano??Hahahahaaa
Go away
Staki kukuona tena[emoji1]
Me tooFave[emoji7]
Maji...Ndiyo shem ila si mara kwa mara
Sasa huwa unakunywa nini?
Maji na fresh juice ama?
Nyanya[emoji144][emoji144][emoji38] [emoji38]
Parefu kwelii anaugulia tu
Ila asipo kuepi Curry Rockets wabeba WCHahaha
Umewataja GSW nimekuwa mnyonge ghafra
Kina Cury,Kevin Durrant moto sio wa kitoto
Umekiskrini shoti? Nitumie. Tumetoka mbali ati !!!Hapana shem
Ni katika harakati za kusaka ile picha ndo nikakutana na hii nikashindwa kujizuia.
Ila nimekutana na kitu kimoja hivi nikabaki natabasamu pekeyangu tu.
HahahaIla asipo kuepi Curry Rockets wabeba WC
Japo wakikutana na Lebron kwenye finals sina uhakika nao pia
Na dadako bado anaendelea kummilikiMpaka leo Andjul katudhulumu !!!
Mh?!Yaan una mmis mtu hadi later on una anza kumsahau
Acha tu,wala usinikumbushe kwakweliEhehehee
Mimi nilikusibiri nikijua utarudi eti
Mbona waonekana unajua ila hutaki kuthema[emoji38][emoji38][emoji38]Sijui hata alikosea nini etii
Ila atarudi tu soon
Acha tuu[emoji58]Yaan una mmis mtu hadi later on una anza kumsahau