Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

SAME, KILIMANJARO: Mapadri watatu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Same, wamefariki dunia ndani ya saa 72. - Kwa mujibu wa taarifa ya Kanisa iliyotolewa jana, waliofariki wametajwa kuwa ni Padre Ubaldus Kidavuri, Padre Arbogast Mndeme na Michael Kiraghenja, wote wa jimbo hilo. - Padre mmoja alikuwa akiumwa na alifariki akiwa katika Hospitali ya KCMC. Wawili walifariki ghafla usingizini - Mapadri hao wanatarajiwa kuzikwa Aprili 17, katika Makaburi ya Mapadri Jimbo la Same. Haijawahi kutokea vifo vitatu vilivyopishana kwa saa 24 katika jimbo moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…