Pouwaa bestHaya rafiki angu
Mungu abarike kazi za mikono yetu[emoji120] [emoji120] [emoji120]Nikweli mkuu harakati ziendelee
Amina.. [emoji120]Mungu abarike kazi za mikono yetu[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Njema kabisa kipenzi.Mungu ni mwema
Za asubuhi dia?
Bado bado asee[emoji58] [emoji58]mi mzma kabsa
vp hali yako
Niko poa kiasi mvua mvua hizi zinanifanya vibaya sana[emoji58] [emoji58] [emoji58]Njema kabisa kipenzi.
Hofu juu yako
na hiki kibaridi,,kuna sindano za kukaushaBado bado asee[emoji58] [emoji58]
Ooh! Polee sana, Nini tatizo?Niko poa kiasi mvua mvua hizi zinanifanya vibaya sana[emoji58] [emoji58] [emoji58]
Dooh sindano hapana kwa kweli wacha tu nimeze dawana hiki kibaridi,,kuna sindano za kukausha
unaogopa?Dooh sindano hapana kwa kweli wacha tu nimeze dawa
Asante mwayaOoh! Polee sana, Nini tatizo?