Huu udada umeanza lini??Kwema dadake?
Kweli tena, hapo hata kuoga hawafikirii kabisa[emoji23][emoji23][emoji28]Si umewaona hao Pyaar wako busy wanapiga ball kwa raha zao hawana wasiwasi na lolote lile duniani kwa wakati huo kwani akili yao yote imezama kwenye kusakata soka.
Dah!View attachment 746770 View attachment 746769 View attachment 746768 Upanga Mfaume Street, jengo lataka kuanguka, residents wamesha evacuate the premises!
Kama unapita barabara hiyo kuwa mwangalifu!
Mola atusaidie milele yote!
Chimali[emoji1][emoji1][emoji1]
Ounywa mpaka njikutama.[emoji134]♂️[emoji134]♂️[emoji134]♂️... Bhagosha! Nikeja ewao ruksa okungulila! [emoji1][emoji1]
Beef lasagna,Hii vita Ya Likes haijawahi muacha mtu Salama Tia utiwe tuu likes Hakuna namnaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mpenda misamwandaunafika heaven Alafu malaika anakuita na jina
yako ya Instagram.
Jaymo Mpenda Misambwanda.
Apo ndio unajua satan is real[emoji23][emoji23][emoji23]
Hilo ghorofa lipo maeneo gani hapa nchini mkuu?Dah!
Hizi mvua za safari hii ni hatari,mafuriko kila sehemu
Salama SanaBeef lasagna,
Habari namna gani?
[emoji137] [emoji137] carbaJikubali
Yuleeee mwenye sweta mshangiliaji[emoji23][emoji23]Dah !!!
Kama najiona vile [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Huu udada umeanza lini??
Hizi mvua za safari hii ni hatari,mafuriko kila sehemu
Mungu asimameHizi mvua za safari hii ni hatari,mafuriko kila sehemu