Awww [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] thanks kaka akee nitakuja tena
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaan na roho kuuma wakiiwazia hio pesa utadhan yao hahaha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] Pluto mara moja
Hapana hujakoseaMguu nje
Mguu ndani hiyo. Au nakosea
[emoji23][emoji23][emoji28][emoji23],Naona nyie watu hamuogopi kuwa overdose wagonjwa wenu eeh? [emoji1][emoji1]
Muwe na usiku mwema jamani nawapenda sana nimefurahi sana kuwa nanyi kwa siku ya leo [emoji7][emoji7][emoji8][emoji8]
Hahahaha sifanyi mtoko wa kwanza hizo mamboNilijua wafanya hivyo mtoko wa kwanza,ningemuita dadake akupe kitchen party kwanza[emoji23]
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] chombo hicho@ledada
Unafikiria eeh?[emoji23][emoji23]Sio Siri tangia utoe kauli yako ya 4*3 nimekuwa niki kufikiria sana sijui yaani nimekuwa najiuliza maswali mengi sana
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] wasione memba hii
FactUaminifu ni kitu muhimu kitakacho waonyesha watu wewe ni nani,
na unafanya nini katika
jamii inayokuzunguka.
Jamii yoyote inapenda kuishi na mtu ambaye anaeleweka na hana tabia ya kuongopa ongopa kwa wengine.
Uwiiii poti kwisaaaaa(in masai voice)habari yake[emoji23][emoji23][emoji28][emoji23], 1 × 1..day 1
1 × 2 ..day 2
3 × 1...day 3
4 × 1....day 4
Hivyo hakutakuwa na tatizo.
[emoji7][emoji7][emoji120][emoji120]Shukrani sana Dadaake
Usiku mwema pia wifi[emoji8]Muwe na usiku mwema jamani nawapenda sana nimefurahi sana kuwa nanyi kwa siku ya leo [emoji7][emoji7][emoji8][emoji8]