Pole sanaNimerudi baada ya kufungiwa kwa siku 4 mfululizo kwa kosa fulani hivi nilishindwa kabisa kulog in.
Hahahah zipo nyingi,Endelea mkuu...I emu liseningi...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😵[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kesho yake ni vidonda vitupu mdomoniView attachment 746854
DaahKama umetoa ahadi fulani halafu umeshindwa kuitimiza,
ni heri ukaongea ukweli kuliko kutunga uongo ili upate kuaminiwa na wengine.
Asante kaka akee na kwako piaUlale unono na njozi njema Dadaake
Kama jamaa hakujua si kosa lake japo nahisi angeuliza kama alikuwa na moyo wa kusaidia.Hakujua ila hii ya mua tuachie wazungu sema ule ukweli,mgonjwa apelekewe matunda,juisi,maji hapo nafuu kuliko maua na kadi
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Usiku mwema pia wifi[emoji8]
Nakupenda [emoji171]
Acha tu,wafanyeje sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kila mtu anapambana na foleni yake
Jizazi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahah zipo nyingi,
Wapo na joto sana.
Inaamsha hisia fasta unawezacome within 5min [emoji4][emoji4][emoji23]
Unaenda lala wapi wewe, sema unaenda kwenye JUKUMMuwe na usiku mwema jamani nawapenda sana nimefurahi sana kuwa nanyi kwa siku ya leo [emoji7][emoji7][emoji8][emoji8]