Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jizazi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani sipati picha mtanange wake,ula alisema akizidiwa ndo anaitisha sub
 
1.UNAJITENGENEZEA THAMANI MBELE YA WENGINE


Wenzako watajua umesimamia upande gani na wao wasimame upande gani kwako.
Ukiwa muaminifu kwa wengine unajitengenezea mazingira ya kuthaminiwa.
Na wenzako watajisikia wako salama wao na mali zao wanapokuwa karibu na wewe.
Ukiwa muaminifu huitaji kujieleza mbele za wengine ukoje bali tabia yako itajionesha tu na wao watakuelewa vizuri tu.
 
Wanabust hips asiponyanyua mguu hips haionekan
 
2.UNAKUWA HURU


Unapokuwa msema kweli hauna muda wa kujilaumu wala kulaumiwa kutokana na utakachoongea.
Moyoni mwako utakuwa unajua wazi kuwa ulichofanya au kuongea ni kitu sahihi kwahiyo hofu haitakuwepo kamwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…