Kwa nini? [emoji2]Huu mshtuko umenipa wasiwasi
Aamin, hujambo. Ukimuona kitoo mwambie namsalimiaMuwe na siku njema yenye baraka na amani[emoji120]
Tumesahaulika mkuucha kushangaza hawajaongeza idadi ya nchi znazotoka bara la Afrika,,zmebaki zle zle 5,,,toka 32 hadi 48 ni km nchi 16 wameongeza,,Afrika vp?
Sijambo vipi wewe?Aamin, hujambo. Ukimuona kitoo mwambie namsalimia
WozaahTeam Kiba
Tumesahaulika mkuucha kushangaza hawajaongeza idadi ya nchi znazotoka bara la Afrika,,zmebaki zle zle 5,,,toka 32 hadi 48 ni km nchi 16 wameongeza,,Afrika vp?
Kipi kilichokushtua hivyo?Kwa nini? [emoji2]
Wozaah
hakika,,, tunasahaulika kwa kila jambo,,,tatzo litakuwa rangi zetuTumesahaulika mkuu
hakika,,, tunasahaulika kwa kila jambo,,,tatzo litakuwa rangi zetu
Maji yalivyofunika baadhi ya nyumbaKipi kilichokushtua hivyo?
[emoji16] [emoji16] [emoji16] km wale wanamichezo toka cameroon waliokuwa kwenye michezo ya Jumuia ya madola,, nasikia wamejiongeza huko,,,,Waafrika kwa fursa hatuchelewNa asili ya tabia zetu za kolowea huko huko