Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1.KUTOKUWA TAYARI KIAKILI KUJIFUNZA


*Kuwa na mawazo lukuki,
ambayo hayaendani na kitu unachotaka kujifunza.
 
2.KUKOSA SHAUKU YA SOMO LENYEWE


*Kutovutiwa na namna linavyofundishwa au lina mambo mengi sana.
 
3.KUSOMA NYENZO NGUMU


*Kusoma somo lenye lugha ngumu kuielewa au maelezo mengi na ambayo mpangilio
wake huuelewi.
 
4.KUKOSA HAMASA


*Kutojua baada ya kujifunza hilo somo litakuja kukusaidia nini katika
maisha ya baadaye.
 
5.KUKOSA LENGO MAALUMU


*Kutojua katika hilo somo,
unatakiwa ujue nini hasa
baada ya
kumaliza kulisoma.
 
6.KUSOMA ENEO LISILO NA UTULIVU


*Kukosa utulivu wakati wa kujifunza
kwasababu ya kelele nyingi na
usumbufu wa watu.
 
Alilishwa limbwata?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkoromije karibu pwani
Mkoromije alinaswa Mzinga Vikunai na bint wa huko, alihangaika kujinasua asiweze[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] cc mkoromije
 
7.MATATIZO YA HISIA


*Kuwa na maumivu ya kihisia yanayokuzuia kufikiria vizuri.
 
10.KUWA NA HOFU YA KUSHINDWA

*Hofu ya kushindwa inapokuingia inashusha hamu yako ya
kujifunza kabisa.

Sababu,
kubwa ya kukosa umakini
katika unachojifunza,
sio
kukosa kuvutiwa na unachosoma
bali ukiwa
na nia ya kukijua
lazima
umakini wako utakuwa hapo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…