Hapo sawa de bruyne anastahili kama watachukua EPLKuna mastaa sita, Kevin De Bruyne, Mohamed Salah, David De Gea, David Silva, Leroy Sane na Harry Kane.
Hata hivyo, kwenye orodha hiyo, majina mawili yanapewa nafasi kubwa kuwa ndio watakaokuwa washindani wa kweli ambao ni De Bruyne na Mo Salah na hao wengine kwa maana hiyo ni wa kusindikiza tu washindi.
Jamaa alikuwa anajaribu unavuna unachopanda[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]he! ndio nini hiki
Aisee kichwa anasumbuliwa na ngirimajiAisee msalimie kichwa kichafu
Kabisa mkuukweli..debe la mahindi tu unapata hiyo
Kama formula itafanya kaziJamaa atavuna nyingi
Mbona wameshachukua zamaanHapo sawa de bruyne anastahili kama watachukua EPL
Kweli mzee wa liverAcha utani
Nachukia sana media za Brazil hazimtendei haki huyu jamaaRoberto Firmino (Liverpool)
Kwenye kikosi cha Liverpool msimu huu huwambii kitu kuhusu Mohamed Salah. Staa huyo anacheza soka la ubora wake na kufunga kwa kadiri anavyotaka. Lakini kwenye kikosi hicho kuna staa huyo anayefanya kazi kubwa sana inayoifanya safu ya ushambuliaji ya kikosi hicho cha Kocha Jurgen Klopp kuwa tishio ni Roberto Firmino.
HahahahahaAisee kichwa anasumbuliwa na ngirimaji
Pamoja na kuchukua uefa champ leagueKocha Klopp ameshawahi kumzungumzia staa huyo wa Kibrazili kuwa anakupa unachokitaka ndani ya uwanja.
Kwenye Ligi Kuu, Firmino amefunga mabao 15 na kuasisti mengine saba, hivyo kukifanya kikosi cha Liverpool kuendelea na mapambano ya kuhakikisha kinamaliza ligi ndani ya Top Four ili kunyakua tiketi ya kucheza Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu ujao.