Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kweli kabisa,, maana kimekuwa chake tayali hana pa kumpeleka

Lakini hadi anakuwa mke wako,, unakuwa bado tu haujui kuwa hajui kupika
Hapo ndo pakushangaa.
Ila yawezekana kila siku walivyokuwa wakikutana ni mwendo wa takeaway so mda wa kumpikia alikuwa hana ama alikuwa akitafuta kisingizio.
 
Hapo ndo pakushangaa.
Ila yawezekana kila siku walivyokuwa wakikutana ni mwendo wa takeaway so mda wa kumpikia alikuwa hana ama alikuwa akitafuta kisingizio.
Hahaha inaweza kuwa mambo ya takeaway,pia kuna mabinti wengine kupika kwa wachumba wao huwa ni ishu, sio kwamba hajui anakuwa kaamua tu

Wao wanadai unaweza pika weeew au kufua hlf mwsho wa siku anaolewa mwngne
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…