Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
We mtaje tu. Tutamfuata huko huko na kumpa makwenzi yake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sio ikibidi lazima ale makwenzi [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hayupo mitaa hii[emoji58]
Sio mbaya sasa na weekend hii basi nikusikiliza hayawani tuAcha tu best anzia asubuhi alafu ni kile kimvua hakiishagi
Hahah!! Utawaweza wadau yani wamempa sana tabu mdada wa watuHaahahhaha nimecheka mmemuonea beyonce huko