Nipo na wewe Mkuu kula like tusubiri dakuSiamin kam mmeniachia uz pek yangu
Nipo, ndo nimemaliza qiyyam layli sasaivi tu, afu nikala daku, mzima lakini?
Komaa mzee, sisi tushayasahau hyo mambo, yanachosha sana kwakweliMi asubuhi napresent mada hapa na search materials
inawezekana mkuu ni swala la muda tuMechi za ndondo unataka upatie ubingwa ligi ya bara?