Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Mi sina upendo wa hivyo nimeshindwa[emoji87] [emoji15]
Me naipenda na kuithamini afrika hasa nchi yangu.
Nimeona harakati zako zinaelekea kileleni... [emoji23]Mkuu umejuaje natongoza ledada umeona hii
Nawe kuna mtongozo wa aina hiyo[emoji58] [emoji57] [emoji51]Naona unatongoza kilatini... [emoji23]
Ndio cole nimeonaMkuu umejuaje natongoza ledada umeona hii
Don't trust everything you seeNimeona harakati zako zinaelekea kileleni... [emoji23]
Otilie brown mzee wa wembeNikweli ndugu..
Huyo jamaa kwenye avatar sindio huyo wa kuitwa Otilie?
Mwisho wa kukata matumaini ndiyo mwanzo wa kupata ahueni. [emoji23]Mi sina upendo wa hivyo nimeshindwa
Kama nyimbo ya solo thang
Nitafurahi ndio, ila kitakacho nifurahisha ni kujali kwako na sio vitu.Mfano nikununulie viatu au nguo unazopenda
Utafurahi, au lah????
[emoji85] [emoji1] me nikajua umemaliza kila kitu ili na Mimi nikopi...nikamjaribu sweetlee na pyaar.Don't trust everything you see
Mkuu hizo Kama conspiracy tu
Siwezi kutongoza.
Viph nikijali kwa maneno sio kwa kukunulia vituNitafurahi ndio, ila kitakacho nifurahisha ni kujali kwako na sio vitu.