[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji102]Asiyewapa wenzie likes ana vyeti feki
Hahahahahahaha Mkuu una vyema sana kwenye hii threadPokea glass baridi kwanza ya likes ukae sawa
Nasoma hizi post duh![emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
[emoji102]Post upumbavu upate likes
Yaan huyo ni mtoto wa babu mzaa bibi yangu. Kwhy babu yangu na bibi yake walikuwa ndg. Kwhy huyo ni shemeji yako.Usidhani nimelewa ukanizunguka kirahisi hivyo? Mimi mbona Nina mchepuko mingi lakini sikuonyeshi? Unaniona mjinga sio, rudi nyumbani.... Punda wahed,
Usiku mwemakesho wandugu
Pamoja kiongoziWakuu baada ya miangaiko ya kutwa nzima nawasalimu na nawatakia usiku mwema
Bapa nipunguze hasira[emoji23] [emoji23] [emoji23]Muache mimi nikuletee nini mama
Haotagi watu wenye vichwa vichafu kama weweSleep well usisahau kuniota bibie.
Na wewe libaba likubwa hebu mwache nsamaka ni mke wa mtuuu, mwacheee... Mtaniua jamani mwacheniiiiYee chene hange
[emoji23] [emoji23]Na wewe jibapa, wanawake wengine haujawaona? Nsamaka ana nini mpaka umng'ang'anie? Simuachi tafuta wa kwako
Mkuu, upo?[emoji102]
Teh teh teh...lol!!!Kula pesa na ikibidi tuzitumie km tulivyokula za mtu aliye kifungoni shinyanga.
Ni nyingi.Nasoma hizi post duh!
Naona bibi harusi ns bwana harusi wamefanana
Hata sielewi kama nitazipeleka. Kesha nichanganya[emoji15] [emoji15] saiz ndo unapeleka reds??