myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Ni kweli, ubingwa sio rahisi kwao. Ila ingekuwa/itakuwa ni aibu kwao kama watatolewa raundi ya kwanza!LBJ kafanya maajabu leo, lkn Cavs bado sio timu ya kuchukua ubingwa kwa msimu huu
Ni kweli kabisa,point ni kuwa Pep hawezi mfikia babu Fergie, Pep anawatu wake wa kuwafananisha nao ila sio kwa sir alex fergusonHivi kuna timu sasa hivi iliyosheheni ma star kwenye EPL kama MU? Karibia kila mchezaji kwenye ile timu ni bei mbaya!
Hahaaa, you're a die hard MU fan!Ni kweli kabisa,point ni kuwa Pep hawezi mfikia babu Fergie, Pep anawatu wake wa kuwafananisha nao ila sio kwa sir alex ferguson
True!Your time is limited, so don’t waste it living someone else’s life. –Steve Jobs
Kweli kabisa, sema LBJ anajua sana anauwezo wa kuibeba timu yoyote ile hata km ndogo na ikafanya poaNi kweli, ubingwa sio rahisi kwao. Ila ingekuwa/itakuwa ni aibu kwao kama watatolewa raundi ya kwanza!