Aki profiling in traffic is brutal[emoji848][emoji848][emoji848]
Watu wa magari kubwa kama v8 na land cruisers wanauziwa property magazine,[emoji41][emoji41][emoji41]
Watu wa gari ndogo kama premio na NZE wanauziwa madizi, jumper cables and alphabetical charts[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Sisi watu wa matatu tunauziwa dawa ya mende, minyoo na mitego ya panya [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]