capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Tunakula kwa macho. Pesa uko wapi tule live? [emoji21][emoji21][emoji21][emoji21][emoji21][emoji21][emoji21]
Number one killer in Afrika. Ukiingia kwenye huo mdomo hutoki ng'o !!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Doh![emoji38]
Kufuatilia mambo yaliyopita na kung'ang'ana nayo siyo jambo zuri ati! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji736][emoji736]
Unataka afanyeje katika hali kama hii?[emoji23][emoji23], na kwanini ulale hapo???
Mbogo. Denja denja...
Unawajua wanawake (wakorofi) mkuu? Utaambiwa acha visingizio nipeleke kwa malaya wako ulikolala [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Namwambia twende ukaone nilipolala.
Sijui kwa nini ameuita wa kijinga wakati ni wa kijanja kweli kweli. Vijana wamempiga kilainiii. Pole zake !!!
Aisee! Huwa siazimishi simu yangu.
Kanafunzi kako katukutu kakitaka kaiazime kwa muda ili kacheki wavuvi wa kenyewe wanavyoendelea utakakatalia?Aisee! Huwa siazimishi simu yangu.