Kweli mwanaume mzima alale hapo kisa vimaji vya barabarani!!!!!!!!!!!!!!!!Unataka afanyeje katika hali kama hii?
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]Unawajua wanawake (wakorofi) mkuu? Utaambiwa acha visingizio nipeleke kwa malaya wako ulikolala [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Safi kabisa kwa msimamo huuAisee! Huwa siazimishi simu yangu.
Kuna mmoja aliibiwa kret tatu,mbili za soda moja ya bia yaan hakuaminSijui kwa nini ameuita wa kijinga wakati ni wa kijanja kweli kweli. Vijana wamempiga kilainiii. Pole zake !!!
Beche hilo dogo anakombeleza...
Unataka kusema amefanya hivyo kwa vile ni wa Dar? Kama hajui kuogelea je? Hata kama anajua kwenye maji kama hayo atachemsha.Kweli mwanaume mzima alale hapo kisa vimaji vya barabarani!!!!!!!!!!!!!!!!
Numbisa naomba uniazime simu yako kwa 1 minute nimpigie Carba. Yangu imeishiwa chaji [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Safi kabisa kwa msimamo huu
Mzigo wa uhakika. Zuma atakufa vizuri [emoji23][emoji23][emoji23]Hapo sasaView attachment 755382
Ya kwangu haina batan[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Numbisa naomba uniazime simu yako kwa 1 minute nimpigie Carba. Yangu imeishiwa chaji [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hahahahaha duuuYa kwangu haina batan[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ntakaambia kataje no.niwapigie halafu kanaongea nikiwa pembeni yake, kasije kufanya chochote.Kanafunzi kako katukutu kakitaka kaiazime kwa muda ili kacheki wavuvi wa kenyewe wanavyoendelea utakakatalia?
Mzigo wa uhakika. Zuma atakufa vizuri [emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna watu wapo vizuri wameivaa duniaMzigo wa uhakika. Zuma atakufa vizuri [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mwwnyekiti wa wagumu akawa mlaini ghaflaEvidensi anayo carba aisee mwenyekiti akalainika ndebendebe shata shata mbele ya carba si muchezo