I can't dance .Why?
You hate dancing?
It is good for you both physically and psychologically [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kipi tena hicho Shiro? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nilicho waza
Poleni wagonjwa Mungu awaponye
Marahabaaaaa !!!Shkamoo shemeji
Naona siku imeanza vyema kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]
Waah waah eeeh !!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wachaaaaaa
Slap dance eeh?
Hadi nimeimagine waah waah
Kimdabuo....Unahusika...Mf.
Numby akipatikana na mkoromije atafanywa kitoweo cha usumbufu[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hakuna mnyama mlafi kama huyu....
Hivi shem. Huwa mnafundishwa hiyo miandiko yenu?Ooh yeah[emoji871][emoji871]
Kuna mtaalamu wa misitu alikuja kunishauri kuhusu aina ya miti inayofaa katika kakihamba kangu. Kaja na msuti na mwamvuli...Ilibakia kidogo nimtoe mkuku ila sema tu kwa vile nilikuwa namhitaji. Wasomi wengine hovyo sana !!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji28]
Ila kuna watu wabaya jamani. Wamemlainisha cheamani wetu mpaka waiii zinamtoka tu hata bila kujua. Hatari aisee...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mwwnyekiti wa wagumu akawa mlaini ghafla