Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukibambiwa hizo pozi zinakujaga zenyewe,lazima ulete manjonjo na wesee lako[emoji23][emoji23]
Kwa kubong'oa huko konokono anaonekana ohooo[emoji125] [emoji125]
 
Sijui kwa nini ameuita wa kijinga wakati ni wa kijanja kweli kweli. Vijana wamempiga kilainiii. Pole zake !!!
Unaweza ukute wale wenye maisha magumu(ombaomba) walienda akawaambia sijauza, halafu dakika chache baadaye anaingia kijana anapiga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…