Huku kwema shem. Hajambo kabisa.Kwema kabisa shem. Vipi mitaa hiyo? Bibie hajambo? Mwambie kuwa 0205 anasubiriwa kwa hamu. JF itasimama [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asante kaka moudKaribu Dada ledada
Ndio BAKNaona ni mpenzi wa viatu sana ledada
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Hahahaha, ledada yupo hapa asubiri lunch[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]